Sunday, March 18, 2012

MANENO MAZURI YA JUMAPILI YA 4 YA KWARESIMA!

Furahi Jerusalemu, mshangilieni ninyi nyote mmpendao; furahini nyote mlio kwa ajili yake......mpate kunyonya na kushibishwa kwa maziwa ya faraja zake.

Ee Mungu, umeleta kwa namna ya ajabu upatanisho wa Wanadamu kwa njia ya Neno wako. Tunakuomba uwajalie Wakristu bidii ya kujiweka tayari kwa ibada na imani kuadhimisha sikukuu ijayo.

Bwana alinipa macho, nikaenda, nikanawa.....nikapata kuona nikamwamini Mungu.

Ee Mungu, uliyemtia nuru kila mtu ajaye ulimwenguni humu, tunakuomba uitie mioyo yetu nuru ya neema yako, tuweze kuwaza daima yakupendezayo wewe Mwenyezi na kukupenda kweli.

No comments:

WATEMBELEAJI