Saturday, March 17, 2012

TAFAKARI KABLA YA KUOVATEKI...............

Ili kuokoa maisha ya watu na wewe mwenyewe, hebu Tafakari kabla ya kuanza kuovateki......hivi kweli unashindwa kutafakari, kuwa kuna mlima mbele huwezi kuona anayekuja? Utanaka kuua watu wasio na hatia yoyote, hebu jitahidi kuepusha ajali zisizo za lazima!

No comments:

WATEMBELEAJI