Thursday, March 1, 2012

USALAMA WA WATOTO....NI MUHIMU SANA KATIKA JAMII.


Wanafunzi wa shule ya msingi Mjini Moshi, wakikimbia kuvuka barabara wakati wa mchana. Watoto kama hawa wamekuwa wakigongwa na magari mara kwa mara katika maeneo mengi nchini kutokana na kutokuwepo umakini kwa waendesha magari na vyombo vingine vya usafiri. Jamii haina budi kuwalinda watoto na kuwajali popote pale wanapokuwa.

- Picha na Mkuu Mroki ak.a Father Kidevu.

No comments:

WATEMBELEAJI