Monday, March 19, 2012

WATOTO WANASOMA KWELI?

Watoto walio wengi Vijijini, wanamaliza darasa la saba hawajui kusoma wala kuandika. Hadi wanamaliza Shule ya Msingi nusu ya Wanafunzi bado hawawezi kusoma hadithi ya kiwango cha darasa la pili, huwa inaniuma sana.........baada ya picha hii nawaleteeni video ya vichekesho inayosema hali halisi ya wanafunzi nchini mwetu!

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Ni kweli ni jana tu nilikuwa naangalia program fulani nguja nitafuta walisema ya kwamba asilimia kubwa ya waTanzania hawajui kusoma...kwa kweli inasikitisha sana..

WATEMBELEAJI