Naomba sana mniwie radhi kwa muda huu ambapo nimebanwa sana na mambo mengi ya kikazi....lakini nipo njiani kurudi tena kisawasawa kama kawaida ya siku zote.
Nawaombeni sana wanau wangu msikate tamaa na mimi, na huu mtandao wa Kazi yako ni jina lako.....nitarudi hivi karibuni kuwa nanyi katika habari na vijimambo mbalimbali kama kawaida yetu.
ASANTENI SANA NA POLENI SANA KWA USUMBUFU MLIO UPATA KUTOKUWEPO HAPA NANYI.
NI MIMI WENU WA KILA SIKU.
CHIBI.
3 comments:
Yaani nilishaanza kukusahau..natania kaka B. Ahsante kwa ujumbe huu DAIMA PAMOJA.
hivi kaka ulishapata zile document zako ulizopotezaga? ihope kama ukizipata nakuombeea uzipate ubarikiwe sana napenda glob yako sana
Sikupata kabisa zile Document, hizo ndo basi tena.
Dada Yasinta, ukinisahau nitakusemea!
Post a Comment