Sunday, May 20, 2012

JUMAPILI NJEMA SANA KWENU WADAU WANGU!

Nawatakieni Jumapili njema sana, tupo pamoja daima. Samahani kusuwa suwa kwangu katika Mtandao huu ni kutokana na mambo mengi sana niliyonayo kwasasa hapa Dodoma na kwa Tanzania yetu hii. Lakini nipo pamoja nanyi pindi tu nipatapo nafasi na ninawakumbukeni sana tu.

Jumapili njema sana na kila lakheri kwa yote!

TUPO PAMOJA DAIMA......!!!!!

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Fanya unalotakiwa kufany ukitukumbuka siki moja moja twafurahi--JUMAPILI NJEMA KWAKO PIA YENYE BARAKA TELA KAMA JINA LAKO..

Baraka Chibiriti said...

Asante sana Dada Yasinta, pia kwa ujumbe mzuri....Ninawakumbuka daima na kuwamiss sana tu!

WATEMBELEAJI