Wednesday, June 6, 2012
LEO NIPO KATIKA KITENGO HIKI CHA MAJI TAKA.
Kazi ni kazi tu.....hata wakucheke acha wakucheke tu! Leo nipo katika kitengo hiki cha unyonyaji maji machafu a.k.a Maji taka. Mimi sichagui kazi inayojitokeza ndo hiyo kuliko kukaa tu, sasa leo nimejifunza na kazi hii.....katika kusaidia hapa CPPS - WATER PROJECT. Wapo wafanyakazi waliokuwa wakinitania, au sijui wanasema kweli? Eti wewe umetoka Ulaya unafanya kazi kama hii; na mimi nimewajibu kwani ukikaa Ulaya basi ndo usifanye kazi? TZ yetu hii kwa kudharau kazi hatujambo.......wakati wenzetu Ulaya wanaheshimu kila kazi. Kazi ni kazi tu!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment