PAMOJA NAPITA KILA SIKU BARABARA HII LAKINI......
Pamoja kuwa napita barabara hii mara kwa mara.....lakini huwa sichoki kabisa kupita hapa kutokana na milima yake mizuri inayopendeza sana kuiangalia. Ni barabara ya Morogoro - Dodoma.....hasa pale mitaa ya Gairo ndo usiseme kabisa.
No comments:
Post a Comment