Thursday, June 21, 2012

UJENGAJI WA PAMPU YA KUVUTA MAJI KWA UPEPO (WINDMILL).





Hapa ujenzi wa Pampu ya kufuta maji kwa kutumia upepo (WindMill) ndo unaanza, na wageni wetu kutoka Marekani wakishuhudia njinsi inavyofanyika mpaka kukamilisha ujenzi huu. Hapa ni maeneo ya nje kidogo ya Mji wa Dodoma....katika shule moja ya msingi.

No comments:

WATEMBELEAJI