Monday, November 12, 2012

UMESHAWAHI KUONA MTI WA ANANASI????

Hapa kama sio Mchina kapita......sijui???? Wachina kwa kuchakachua hawajambo! Mpaka mti wa ananasi wa Kichina upo tu!

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Duh! ama kweli wanajua kuchakachua...

WATEMBELEAJI