Tuesday, December 30, 2014

NAMSHUKURU SANA MWENYEZI MUNGU KWA KUUMALIZA VIZURI HUU MWAKA 2014.

Ee Mungu Mwenyezi,
Nasema leo kwa furaha sana; ulijua wazi kuwa mimi sistahili, kwasababu mimi ni mdhaifu mwili na roho......ukaruhusu nifanikiwe juhudi zangu, makusudi mimi niuone ukuu wako; ndugu wanipende, jamaa waniheshimu, marafiki wanijali wanisaidie........ndio maana leo nakurudishia; utukufu ni wako milele, sifa na heshima ni vyako daima. Wewe peke yako unastahili, usufiwe na uhimidiwe milele.

- Nakushukuru sana kwa mafanikio ya mwaka mzima huu unaoishia sasa wa 2014.....nakushukuru sana Bwana kwakua umeniona.....asante sana!

No comments:

WATEMBELEAJI