Monday, February 9, 2015

MAMBO YA SASA NI KISASA ZAIDI.....KIMBINYIKO HANA UTANI, SITI ZA MBILI KWA MOJA TU, DODOMA - DAR - DODOMA. TENA NA DARAJA LA KWANZA LIPO KAMA NDEGE VILE. MAMBO YA KUSAFIRI NA KUKU KATAFUTE BASI LINGINE SIO HILI. HAPA NI KWA RAHA ZETU TU! KIMBINYIKO OYEEEE!!!!!







1 comment:

Dennis Moyo, Mshauri wa masuala ya media said...

Kwa hakika Watanzania tusijengewe taswira kuwa wawekezaji toka nje tu ndo wanaweza. Hii ni kutuvunja moyo Watanzania wenye ari ya kuwekeza nchini mwetu. Hongera Kimbinyiko. Umeanza vyema, yatakiwa serikali, benki na wananchi wakuunge mkono, na Watanzania wengine waige uwekezaji katika maeneo mengine ambayo ni mengi tu! Dennis Moyo, DP Consult Com Mjasiria mali Mtanzania.

WATEMBELEAJI