Sunday, April 26, 2015

FR.ANTONIO CALABRESI.....KATIKA KUMKUMBUKA.


Ni miaka 6 sasa tarehe kama ya leo hii ya 26/04/2009, toka Mwenyezi Mungu alivyo kuita kwake.....sisi tulikupenda sana lakini yeye alikupenda zaidi akakuita kwake. Mimi binafsi nakukumbuka sana kwa mema mengi uliyo nitendea, pia na wenzangu wengi tu wanakukumbuka sana na sana. Pia jamii ya Tanzania inakukumbuka kwa mchango wako mkubwa uliyo ufanya hapa kwetu. Mwenyezi Mungu azidi kukupumzisha kwa amani Fr.Tonino, na sisi tunakuombea zaidi na zaidi.....pia tunaomba sala zako utuombee tuliobaki ili tuwe na moyo kama wako wa kupenda wenzetu kwa kuwasaidia pale wanapo hitaji msaada wetu bila kurudi nyumba kama ulivyokuwa unafanya wewe.

Upumzike kwa amani Fr.Tonino Calabresi, C.PP.S
Amina!

No comments:

WATEMBELEAJI