Friday, November 27, 2015

ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO......NAWE MWENYE GARI CHUNGA RELI, MAANA HILI UTALIGONGA NA UTALIPA WEWE MWENYE GARI.

Si unajua masharti ya hili dude, likikugonga tu.....wewe ndo umeligonga, maumivu utakuwa nayo ya kugongwa na bado wanasema umeligonga wewe, inabidi ulipe......sasa unapokatisha reli uwe mwangalifu.

No comments:

WATEMBELEAJI