Saturday, December 12, 2015

WIMBO HUU HUWA NAUPENDA SANA....UNASEMA HIVI;

Nilifundishwa na Bibi, Kijijini jinsi ya kupenda.......mwanamke hapigwi na ngumi ila kwa upande wa kanga, tena mapenzi sio ligi, nimekubali kushindwa. Mbona nilikuthamini sana kwa kukupenda mengi nikakusemea, sitosema hadharani wengi wakayasikia, we wakunipanda kichwani? Hukumbuki tulikotokea? na kunishusha thamani kipi nilicho kukosea? Ingawa kidogo nilichopata nikajinyima ili uridhike, ila hukujali kabisa ukanikatiri moyo......majirani walinicheka uliponifosi nipike, sio siri ilinivunja moyo. Kisirani, ugomvi bila chanzo....ni kweli upo moyoni lakini sina budi nilivue penzi, ingawa kwa shingo upande, sitofosi unipende ila ni bora uende tuu!!!
Sitosema mapenzi basi, nimeumbwa na moyo....moyo wenye matamanio na unapenda pia ila nitaijutia nafsi nilikufanya chaguo la moyo wangu, kumbe wewe ulipita njia tu.

1 comment:

Anonymous said...

Jina la wimbo Ni lipi?

WATEMBELEAJI