Wednesday, February 17, 2016

MKUU WA WILAYA YA IRINGA.....KATIKA UOKOAJI WA MAFURIKO PAWAGA.

Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Mh.Richard Kasesela......akiongoza uokoaji wa watu waliozingirwa na maji katika Kijiji cha Kisanga, Tarafa ya Pawaga, Jimbo la Isimani, Mkoani Iringa.

Hapa kazi tu......hata katika familia Baba bora, familia bora....Baba maadili mabovu, familia mbovu. Asante sana Rais Magufuli songa mbele Mungu yupo pamoja nawe.

No comments:

WATEMBELEAJI