Friday, July 29, 2016

29/07/2016....HOME SWEET HOME. BAADA YA KAZI NZITO YA KUSAKA MAJI HUKO IRINGA VIJIJINI, SASA NYUMBANI DODOMA.


Baada ya kazi nzito ya kuchimba visima huko Iringa vijijini, sasa nimerudi nyumbani Miyuji - Dodoma. Mpaka hapo baadae itakapo patikana kazi nyingine ya visima. Sasa ni majukumu mengine ya nyumbani na kupumzika kidogo.

No comments:

WATEMBELEAJI