Sunday, July 17, 2016

SAFARINI KULELEKEA KWA MTORO, BAADA YA KUMALIZA KAZI KIJIJINI FARKWA, SASA ZAMU YA KWA MTORO.....HAPA KAZI TU!


 Safarini kwa Mtoro, tukitokea kijijini Farkwa...ambapo tumefanikiwa zoezi la kuopoa pampu ya maji iliyotumbukia kisimani, sasa zamu ya kwa Mtoro napo kuna shida hiyo hiyo ya kutumbukia pampu kisimani.
Hapa tumefika kijijini Kwa Mtoro.




Hapa ni kijijini Kwa Mtoro.....baadae tunaelekea porini kama kilomita 2 ambapo kuna kisima cha maji, ambapo kazi yetu ndipo ilipo huko.

No comments:

WATEMBELEAJI