Tukisimama pamoja, tukidumisha Umoja wetu, Uzalendo wetu, Amani na Upendo wetu tulionao na kuenzi misingi inayounda Taifa letu, Tanzania itazidi kuwa Taifa imara na lenye nguvu duniani.
- Watanzania tuitunze Amani yetu kwa gharama yoyote ile.
Mungu Ibariki Tanzania.
Mungu Ibariki Afrika.

No comments:
Post a Comment