Wednesday, August 24, 2016

AJALI YA MBUNGE WA UKEREWE ILIYOTOKEA TAREHE 22/08/2016.....MAENEO YA MAWENI, MANYONI.




Ajali ya gari iliyotokea maeneo ya kijiji cha Maweni, Wilayani Manyoni....ajali hii ni ya Mbunge wa Ukerewe Mh.Joseph Michael Mkundi (Chadema). Akitokea Mwanza kuja Dodoma kwaajili ya vikao vya kamati mbalimbali za Bunge.

Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh.Tulia, akimjulia hali Mh.Mkundi baada ya kupata ajali mbaya huko Maweni, na kuletwa katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma.

No comments:

WATEMBELEAJI