Hii ni Treni mpya ya China, ambayo inapita kwenye reli ya juu ikiwa inaning'inia.
Sasa imefanyiwa majaribio ya kwanza katika mji wa Chengdu. China inakuwa ya tatu sasa kuwa na teknolojia kama hii, ambapo tayari imekamilika nchini Japan na Ujerumani.
Msanifu mkuu wa Treni hii Zhai Wanming, alisema kuwa; Treni hii itasafiri kwa mwendo kasi wa kilomita 60 kwa saa na inaweza kubeba abiria 100 na inatumia betri za Lithium.
No comments:
Post a Comment