Thursday, November 17, 2016

KAZI NA SALA....ANGALIA HAWA MADEREVA NA MAKONDAKTA WA DALADALA HUKO KENYA, KABLA YA KUANZA KAZI, AU SAFARI ZAO HUANZA NA SALA KWANZA...KWAKWELI INAPENDEZA SANA NI MFANO WA KUIGWA KABISAA!!!!




Hawa ni madereva na makondakta wa ''matatu'' (daladala) katika mji wa Nanyuki nchini Kenya.....wakisali kila siku asubuhi kwa pamoja kabla ya kuanza kazi zao, za safari zao mbalimbali. Kwakweli inapendeza sana sanaaa!!!!! Hawa jamaa ni mfano wa kuigwa kabisaa, wa daladala hapa kwetu mnawaona wenzenu, sio nyinyi kila kukichi ni matusi tu na wateja wenu, igeni mfano kwa hawa jamaa wenzenu wa Kenya.

No comments:

WATEMBELEAJI