Sunday, July 23, 2017

LEO TAREHE 22/07/2017 HAPA JIJINI ROMA - ITALIA.....HATIMAE RAFIKI YANGU MPENDWA SANA ALESSANDRO AMEFIKIA NDOTO YAKE YA KUWA PADRI. HONGERA SANA SANAAA RAFIKI YANGU PADRI ALESSANDRO MANZI.





























Nami sikuweza kukosa sikukuu hii nzuri ya furaha tele ya Alessandro kuwa Padri wa C.PP.S. maana amekuwa rafiki wa kweli kabisaa anayenijali mno. Asante sana Ale kwa yote na kwa upendo wako kwa Watanzania. Ninakuombea daimaa uendelee kuwa mtumishi mwema wa Bwana katika kuchunga kondoo wake.

No comments:

WATEMBELEAJI