Saturday, July 29, 2017

R.I.P MZEE WETU MBWAYOO.....POLENI SANA WANA MPUNGUZI WENZANGU KWA MSIBA HUU MZITO SANA!

Mara ya mwisho kabla sijaja huku Italy, nilienda nyumbani kwake hapo Mpunguzu - Njia Panda kumuaga, tulikaa chini ya mti wa hapo kwake hakika tuliongea mengi sana na alinielekeza vitu vingi mno...hasa mambo ya Zabibu, kunbe alikuwa akiniaga. Kwakweli jana usiku nimepata taarifa hizi nimeshtuka sanaa....lakini basi ni mapenzi yake Mungu. Safari njema Mzee wetu Mbwayoo....nakuombea sana kwa Mungu akupumzishe salama huko. Pole sana kwa Familia kwa ujumla, Mwenyezi Mungu awape nguvu katika hiki kipindi kigumu.

No comments:

WATEMBELEAJI