Sunday, July 8, 2018

CHEO NI DHAMANA TU AISEE...!!!!

Cheo cha kuteuliwa ni sawa kama kupandishwa kwenye baiskeli, huwezi kuketi juu ya baiskeli daima, kuna wakati wa kupanda, wakati wa kupiga pedali na wakati wa kushuka. Hivyo ni muhimu sana kuhakikisha miguu yako haisahau kutembea siku ukishuka.

No comments:

WATEMBELEAJI