Saturday, September 19, 2009

KASHESHE NGOMA ZINAPO LOGA KATIKATI YA BARABARA.

Ni usumbufu sana hasa kwa foleni za Dar es salaam zilivyo, ngoma hizi zinapo loga katikati ya barabara kasheshe kweli. Kifanyike nini ili tuondokane na usumbufu huu?

No comments:

WATEMBELEAJI