Friday, September 18, 2009

USAFIRI WA UHAKIKA KWA WANANCHI.

Baiskeli ni usafiri wa uhakika kwa Tanzania yetu, kwakweli zinasaidia sana kwa shughuli mbalimbali za maisha yetu ya kiumaskini, bila baiskeli ingekuwa shida sana. Hongera zake sana aliye buni Baiskeli.

No comments:

WATEMBELEAJI