Nyanya na vitunguu ni bidhaa bora na mhimu sana kwa binadamu, wakati mwingine huwa nafikiria sana je vikikosekana hivi vitu inakuaje? Maana kila uendapo, mahali pote duniani lazima ukutane na hivi vitu, na watu wengi sana huvipenda. Je bila nyanya na vitunguu tunaweza kuishi?
No comments:
Post a Comment