Gari aina ya Mitsubishi Fuso lenye namba ya usajili T 498 AMV, likiwa limebeba maiti toka Jijini Mwanza kwenda Kijiji cha Kasuguto wilayani Bunda lilitumbukia darajani hivi majuzi baada ya kuacha njia, watu wengine wawili walifariki papo hapo na wengine wengi kujeruhiwa.
No comments:
Post a Comment