Tuesday, November 24, 2009

MAAJABU YA DUNIA,KILA KUKICHA KUNA JIMPYA LA USHANGAZA.


Mwanamke mmoja nchini Marekani, Julia Grovenburg amewashangaza madaktari nchini humo baada ya kupata ujauzito wa pili wakati tayari ana mwingine wenye miezi nane, amepata tena ujauzito wa miezi sita. Mumewe afunga na kuomba.
-HAMIDA HASSAN.

No comments:

WATEMBELEAJI