Kujivunia utaifa wako ni kitu kizuri sana na inapendeza, kama hapa kijana Alfa K, akijivunia nchi yake kwa kuonyesha ishara ya upendo kwa nchi yake. Si kama wengi wetu tupendavyo kuvaa nguo na kubebelea mabendela ya mataifa mengine, kwanini? Wakati na sisi tuna Taifa letu tena zuri na lenye amani tele kwanini tusijivunie? Hongera sana ALFA K. kwa mfano mzuri kama huu.
No comments:
Post a Comment