Wednesday, December 2, 2009

MWANADADA ELIZABETH LAMBERT NI KIBOKO!

Huyu angefaa kucheza mpira na wanaume. Ni mwanadada Elizabeth Lambert kutoka Mexico ni kiboko kwa wenzake, anawalima kisawasawa.

No comments:

WATEMBELEAJI