Thursday, December 17, 2009

NAWATAKIENI MAANDALIZI MEMA SANA YA X-MAS NA SALAMU NYNGI KUTOKA CESENA.







X-mas ndo inanukia nukia hivi, nami sina budi kuwatakieni ninyi nyote mandalizi mema mengi kwa sikukuu hii nzuri. Hata ka mji ka Cesena kapo kwenye mandalizi haya, kama tuonavyo kwenye picha hapo juu. Kila lakheri nyingi sana.



No comments:

WATEMBELEAJI