Wednesday, December 16, 2009

SPIDER MAN IN DUBAI.
















Huyu jamaa anapanda majumba marefu bila support yoyote ile (wala hatumiii kamba!!) Haya majengo ya Dubai yalivyo marefu ni balaa, hata mimi mwenyewe nimeyaona kwa macho yangu yalivyo marefu. Basi huyu jamaa si mchezo ni balaa!!!





No comments:

WATEMBELEAJI