Ile ndoa iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu, ya mtoto wa Waziri Mkuu mng'atuka Edward Lowassa, Dr.Adda na Noel hatimaye imefungwa katika Kanisa la KKKT Msasani Dar es salaam, na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na viongozi wa Serikali. Dr.Adda Lowassa akiwa na mumewe Noel mara baada ya kula kiapo cha Ndoa.
No comments:
Post a Comment