Thursday, December 17, 2009

WAZIRI MKUU ZIARANI JIJINI MWANZA.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiongozana na Waziri wa maendeleo ya mifungo na uvuvi, John Magufuli (kushoto) na mkuu wa Mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro (kulia) wakiingia kwenye ukumbi wa Benki kuu Jijini Mwanza, Desemba 17, 2009. Kuendelea na mkutano wa wadau wa sekta ya uvuvi nchini unaoongozwa na Waziri Mkuu. Watatu kulia ni katibu mkuu wa Wizara hiyo, Dr.Charles Nyamurunda.

No comments:

WATEMBELEAJI