MABASI MAWILI YAGONGANA USO KWA USO HUKO SAME-MOSHI.
Watu kumi na tisa (19) wamefariki papo hapo huko Moshi (Same) baada ya kugongana kwa mabasi uso kwa uso, basi moja likitokea Mombasa. Mojawapo ambalo limehusika ni Mohammed Trans, na basi dogo aina ya Coaster.
No comments:
Post a Comment