Miongoni mwa mambo yanayodhihirisha ubunifu mkubwa wa binadamu ni ujenzi wa nyumba hii ambayo ilijengwa kwa kutumia chupa zilizokwisha tumika.Hapa ni jinsi nyumba hiyo ilivyokuwa inajengwa kwa kutumia chupa zilizounganishwa kwa ''udongo ulaya''
Hapa ni hatua nyingine ya ujenzi wa nyumba hiyo.
Nyumba iliyotengenezwa kwa chupa ikiwa imekamilika. Je unaionaje? Kama unaweza na wewe iga.
No comments:
Post a Comment