Tuesday, January 12, 2010

LAND ROVER 110 ; NI KIBOKO YA BARABARA.

LAND ROVER 110 mpya. Nawasifu sana Waingereza kwa Land Rover 110, ni gari nzuri kwa barabara za kwetu. Pia wamebaki na msimamo huo huo, hawajaibadili sana 110 kama tuonavyo magari mengi ya makampuni mbalimbali, wameyabadili sana utengenezaji wakati mwingine wanayaharibu shoo. Lakini 110 imebaki ileile kiboko ya barabara.


LAND ROVER 110 yazamani.

























Naikumbuka sana LAND ROVER 110. Enzi hizo huko vijijini kwenye barabara za tabu na mahangaiko yenyewe ilikuwa inavumilia tu.






No comments:

WATEMBELEAJI