Wednesday, March 17, 2010

GARI NA PIKIPIKI ZINAZOFANYA MASHINDANO KWENYE UKUTA.

WALL OF DEATH IN INDIA.Maajabu kweli kweli huko nchini India ambapo gari na pikipiki zikiweza kushindana kwenye ukuta bila kuanguka na zinaenda kwa kasi tu, hapa ni duara la shimo fulani, wenyewe wahindi wanaita ukuta wa kifo. Kila kukicha dunia na maajabu yake.

No comments:

WATEMBELEAJI