Wednesday, March 31, 2010

HAPA SHKAKI LIMEBAMBWA NA TRAFIKI HUKO MIGORI-IRINGA.

Askari wa usalama barabarani (Trafiki) katika kituo cha Migori Wilaya ya Iringa vijijini, aliyefahamika kwa jina moja Peter akiwa amekamata pikipiki ambayo ilikuwa imevunja sheria za usalama barabarani kama tuonavyo hapo kwenye picha, kwa kupakia abiria zaidi a mmoja kama ilivyo kawaida - yaani kupitiliza kiasi na kiwango cha pikipiki hiyo.

-Picha kwa hisani ya Francis Godwin.
-Pia Mtaa kwa Mtaa.

No comments:

WATEMBELEAJI