Wednesday, March 31, 2010

JINA LALETA KASHESHE...RC AGOMA KUFUNGUA HOTEL.

Jina laleta kasheshe,.. katika hali ambayo haikuwa ya kawaida Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Brigedia mstaafu Dk.Yohane Balele mwishoni mwa wiki iliyopita aligoma kwa muda kuifungua Hoteli ya kisasa ya Piracy kutokana na jina lake kumaanisha kitu ambacho kinakera.
Jina hilo kwa kiswahili maana yake uharamia.
Utata huo ulichukua muda wa zaidi ya saa mbili, na kumfanya Mkuu wa Wilaya ya Kahama Meja mstaafu Bahati Matala kupata kazi kidogo ya kuwasiliana na kumtafuta mwenye Hoteli hiyo ili jina libadilishwe.

SOURCE; Mihayo.

No comments:

WATEMBELEAJI