Thursday, March 18, 2010

KARIBUNI KWETU TANZANIA!











--Mdau Ray E.Njau
Dar es salaam - Tanzania.




3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Tanzania,Tanzania nakupenda kwa moyo wote,Nchi nzuri Tanzania jina lako ni tamu sana.....

Baraka Chibiriti said...

Kabisa dada yangu...hujakosea.

ray njau said...

Asante sana kwa kuipokea hii taswira kutoka Tanzania na kuiweka hewani.

TAARIFA KWA WATALII NA WAWEKEZAJI:
-----------------------------------
"KARIBUNI TANZANIA KWENYE ARDHI YA MLIMA KILIMANJARO,VISIWA VYA ZANZIBAR,MBUGA ZA SERENGETI NA DARAJA LA KIBIASHARA KWA NCHI ZA MAZIWA MAKUU KUPITIA BANDARI YA DAR ES SALAAM."
-----------------------------------

R.E.N.Njau
Mdau wa Dar es salaam
Tanzania.

WATEMBELEAJI