Monday, March 29, 2010

KICHEKESHO CHA LEO!

Shuleni kwetu tulikuwa haturuhusiwi kuongea kiswahili ukiwa kwenye eneo la shule. Siku moja mwanafunzi mmoja akawa amechelewa shuleni kwasababu alikwenda kwenye chanjo ya pepopunda. Hivyo mwalimu akamuuliza kwanini amechelewa, akamuuliza kwa kimombo, naye akawa hajui neno pepopunda linaitwaje kwa kimombo.

Akajibu; I HAVE BEEN AT HOSPITAL FOR WIND-DONKEY VACCINATION....Ha ha ha ha haaa....Tetenas(pepopunda).

No comments:

WATEMBELEAJI