Mwaka jana nikiwa na jamaa yangu Rogath Mgalle, katika kijiwe chake cha Tex cha Jamatini ndani ya mji mkuu wa Tanzania - Dom. Napakumbuka sana Dodoma, hasa jamaa hawa wa Tex katika kijiwe cha katikati ya mji wa Dom - Jamatini, wanachekesha sana kwa utania na porojo kibao. Ninawasalimu sana na ninawaahidi nitakuja tena Mji mkuu wa Dom.
No comments:
Post a Comment