Saturday, March 27, 2010

MTOTO MWANAID IBRAHIM (4) KUBAKI YATIMA(AJALI YA KIBAMBA).

Mtoto Mwanaid Ibrahim (4) (kulia), ambaye wazazi wake wote wawili walifariki dunia katika ajali ya Kibamba. Akiwa amebebwa na mama yake mdogo, Sharifa Ally wakati wa maombolezo ya msiba wa wazazi wake hao. Mtoto huyu kwa sasa amebaki yatima, ni hizuni sana.
Kushoto ni ndugu yake mtoto Salha Jaffar (3) .
-Pole sana mtoto Mwanaid.

NA WAANDISHI;

Ajali hiyo ilichukua nafasi ya huzuni sana, ndani yake kuna zaidi ya tukio, baada ya kuibuka kwa taarifa mpya kwamba kulikuwa na wanandoa watarajiwa ambao roho zao zilizimika papo hapo.

-Mungu azilaze mahali pema peponi Roho za marehemu hawa, amina!

No comments:

WATEMBELEAJI