Monday, March 22, 2010

UBUNIFU WA VAZI KUTOKA KWA MWANAMAMA RITA.


Mwanamama Rita akiwa na mmewe Geseppe (Joseph) kushoto, kutoka hapa Cesena, Rita alipobuni na yeye vazi lake la kiaina (sketi ya meza),, hapa unaweza ukala chakula chako.
Hongera yako mama Rita kwa ubunifu huu.

3 comments:

ray njau said...

Hii ni safi sana kuwa ubunifu katika masuala ya kijamii.Hongera sana mwanamama Rita.

R.E.Njau
Dar-TZ

Yasinta Ngonyani said...

Hongera mama Rita kwa ubunifu wako, Ila nina swali je wakati wa kula yeye atakaa chini au? na je hiyo mishumaa kichawani yaweza washwa? Ni swali tu....

Baraka Chibiriti said...

Anasema, inabili yeye abaki amesimama, na viti vinawekwa, mishumaa inawashwa kama kawaida...kazi kwelikweli...ha ha haaa....!!!! Na anakusalimu na kushukuru kwa hongera.

WATEMBELEAJI