Thursday, March 25, 2010

URAFIKI WA KWELI.

Ni kweli kabisa wakati mwingine wanyama kama hawa wanakuwa marafiki wa kweli kuliko sisi binadamu, maana kwa maovu ya sasa mpaka basi...binadamu kutokupendana, wivu mwingi, majivuno mengi, tamaa nyingi... n.k.
Kwanini binadamu tusipendane? Mbona binadamu wote tupo sawa, sasa kwanini maugomvi kila kukicha bila sababu?

-Picha kutoka kwa mdau Ray.

No comments:

WATEMBELEAJI