Friday, March 26, 2010

WEWE UNADHANI FOLENI KWA KILA KITU ZIPO BONGO TU!

Wewe unadhani foleni zipo bongo pekee tazama na huku;
Wananchi wakiwa katika msululu mkali wa kusubiri maji katika mji mkuu wa Honduras wa Tegucigalpa. Ukame mkali umewachanganya wakazi wa Tegucigalpa, imeelezwa kuwa hifadhi mbili muhimu za maji yanayotosha watu zaidi ya milioni, ipo chini ya kiwango cha kawaida.

SOURCE: XINHUA.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kwanini tuwe peke yetu tumekosa nini kwa Mungu? Lakini hata hivi watu wengi hawaamini kama kilicho Bongo hakipo sehemu nyingine:-(

Baraka Chibiriti said...

Watu wengi sana wanafikiri sisi tu ndo wenye shida zote, kumbe hata ulaya na mahali pengi sana diniani, kiuna shida mbalimbali, kila Taifa na shida zake, na kero zake.

WATEMBELEAJI