Monday, May 10, 2010

HII NDIO IVECO MAGIRUS DEUTZ a.k.a POPS. ENZI HIZO ZA UJANA!

Trela mkombozi kontena; lilikuwa ndilo mkombozi wetu kwa vyakula, kulala na kubebea vifaa vya kazi, Lori - POPS, tenki la mafuta ya Diesel kwa kazi.









Nawakumbuka kwa hizi picha jamaa zangu wa OVERLAND, enzi hizo za ujana katika uhangaikaji wa kutafuta maji vijijini, katika uchimbaji visima vya maji safi. Barabara mbaya si tumo tuu...misitu na mabonde tulikwepo tuu, kukwama ndo usiseme kabisaaa...!!!
Nawakumbuka hasa kwa Lori kama hili Magirus kwa jina la kupewa tulikuwa tukiliita POPS, pia lilikuwepo Lori jingineambalo lilikuwa na mtambo wa mashine ya kuchimbi visima SCANIA - a.k.a BIG BRO, tukiwa na mkubwa wetu wa kazi na mwalimu, alikuwa kama kaka yetu Peter Schwingshackl, ilikuwa si mchezo.



No comments:

WATEMBELEAJI